Video: CS Murkomen: Ukeketaji wa wasichana (FGM) huko West Pokot, Marakwet na Kerio Valley lazima isitishwe

Video: CS Murkomen: Ukeketaji wa wasichana (FGM) huko West Pokot, Marakwet na Kerio Valley lazima isitishwe

CS Murkomen: Ukeketaji wa wasichana (FGM) huko West Pokot, Marakwet na Kerio Valley lazima isitishwe. Yeyote anayesaidia FGM, ninasema askari wamkamate, apelekwe kortini na ashtakiwe ili tuokoe maisha ya wasichana wetu. Wale wanaowapa watoto chini ya miaka 18 waolewe pia washtakiwe kwa kosa la unajisi (defilement) kortini.

Videos - Trending Now

<

Stay ahead of the news! Click β€˜Yes, Thanks’ to receive breaking stories and exclusive updates directly to your device. Be the first to know what’s happening.