Video: Murkomen: Hivi karibuni tutaanza kuwasajili wakenya takribani milioni moja ambao hawana vitambulisho

Video: Murkomen: Hivi karibuni tutaanza kuwasajili wakenya takribani milioni moja ambao hawana vitambulisho

CS Kipchumba Murkomen: Hivi karibuni tutaanza kuwasajili wakenya takribani milioni moja ambao hawana vitambulisho. Lengo letu ni kuwafikia pale walipo. Wengi wao, hasa waliokuwa katika maeneo yaliyotengwa kwa miaka mingi, hawakuweza kujisajili kwa sababu ya ada ya shilingi mia tatu iliyohitajika.

Videos - Trending Now

<

Stay ahead of the news! Click β€˜Yes, Thanks’ to receive breaking stories and exclusive updates directly to your device. Be the first to know what’s happening.