Video: Wakenya wamekosoa kauli ya Rais William Ruto ya kuagiza polisi kuwapiga risasi waandamanaji

Video: Wakenya wamekosoa kauli ya Rais William Ruto ya kuagiza polisi kuwapiga risasi waandamanaji

Wakenya wamekosoa kauli ya Rais William Ruto ya kuagiza polisi kuwapiga risasi waandamanaji, wakisema inakiuka haki za binadamu. Wakaazi wa Eastleigh, wakiwemo Esther Muthoni na Cyrus Kiragu, wamesema kauli hiyo ni hatari na si suluhu. Wakili Nelius Njuguna ameitaja kauli hiyo kuwa kinyume cha sheria na ameonya kuhusu udhaifu wa huduma za dharura nchini. Ripoti ya KNCHR yaonyesha watu 38 walifariki katika maandamano ya Saba Saba, 14 kati yao kwa kupigwa risasi.

Videos - Trending Now

<

Stay ahead of the news! Click โ€˜Yes, Thanksโ€™ to receive breaking stories and exclusive updates directly to your device. Be the first to know whatโ€™s happening.